Sunday, March 15, 2015

Mtanzania Joselyne Alphonce atetea tasnifu ya shahada ya uzamifu (Ph.D) - "Eliciting consumer willingness to pay for food quality attributes: Experiments conducted in Tanzania, Norway and the US" at Norwegian University of Life Sciences, School of Economics and Business.


Dada Joselyne Alphonce alipokuwa akitetea tasnifu ya shahada yake ya uzamifu (Ph.D) Alhamisi 12.Machi 2015, Tower Building, Room T401 kwenye chuo:
Norwegian University of Life Sciences, School of Economics and Businness.


Baadhi ya watu waliohudhuria kwenye utetezi wa shahada ya uzamifu ya dada Joselyne Alphonce.


No comments: