tag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post547162617102242303..comments2024-02-23T12:37:24.040+01:00Comments on Tanzanian Association Oslo: TBC Ikirusha kutangazwa kwa Joshua Nassari Mbunge Mteule Arumeru Mashariki - CHADEMA washindaChama Cha Watanzania Oslo - CCW Oslohttp://www.blogger.com/profile/01651714405985133072noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-56390981314084640062012-04-02T11:45:35.258+02:002012-04-02T11:45:35.258+02:00CCM tukae tukijua kuwa kuna vyama vya upinzani mak...CCM tukae tukijua kuwa kuna vyama vya upinzani makini sasa si mchezo! Tuliwapeleka wazito wote tukaogopa kumpelekea mwenyekiti wetu Kikwete manaake ingekuwa aibu.

CHADEMA sasa onyesheni upevu angalieni makosa yenu jisahihisheni na nawatakia kila la heri.

Kama alivyosema Nape Mnauye baada ya matokeo kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.

Wana CCM tukubali tumezidiwa kete na CHADEMA Arumeru.

Tuwe makini na watu kama hawa wanaotukana saa zote. Ikiwezekana tuwaondoe. Kuna vijana wengi CCM wenye uwezo wa kuzungumza bila kutukana!!!

MwanaCCM Mdemokrasia wa kweliMwanaCCM Mdemokrasia wa kwelinoreply@blogger.com