tag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post5867826267177718320..comments2024-02-23T12:37:24.040+01:00Comments on Tanzanian Association Oslo: Chama Cha Watanzania Oslo - CCW Oslohttp://www.blogger.com/profile/01651714405985133072noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-1146427151657453612010-12-17T18:56:59.314+01:002010-12-17T18:56:59.314+01:00Huyu mkuu wa Mkoa ni Mjinga na hajui analofanya n...Huyu mkuu wa Mkoa ni Mjinga na hajui analofanya na wala hajui sheria za Uhamiaji ambazo ni za Kimataifa[Mtu anaruhusiwa kwenda popote dunia ili mradi anafuata sheria za uhamiaji wa nchi anayokwenda].Kwahiyo kama hao wazungu wapo hapo kihalali wanahaki wakutembea popote wanapotaka na kama wapo kinyume cha sheria za uhamiaji ndipo wachukuliwe hatua za kisheria.Mkuu wa Mkoa acha siasa za Kibabe tumia sheria.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-63664512371446164992010-12-14T22:13:11.981+01:002010-12-14T22:13:11.981+01:00Acheni ubaguzi wabongo. Huku ulaya wa Afrika kibao...Acheni ubaguzi wabongo. Huku ulaya wa Afrika kibao wanazurura mjini masaa yote na hakuna anae wabagua?

Tena wengine wanatafuta makopo kwenye mandoo ya taka, je halali yao?

Mie naishi uswazi bongo, je, nikija na mume wangu mzungu halafu akaenda kwa mama ntilie banda la jirani kununua mihogo na mbilimbi hivi atakuwa kavunja sheria ya nchi?

mmewahi kuishi sehem mkabaguliwa? Huwa inauma tena usiombe.

Kama hao wazungu wapo kinyume na sheria basi acheni mamlaka zifanye kazi yake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-83266599908934703002010-12-14T10:49:04.652+01:002010-12-14T10:49:04.652+01:00kwakweli hapo sasa tutaanza ubaguzi,,mbona wahindi...kwakweli hapo sasa tutaanza ubaguzi,,mbona wahindi kibao na wachina wanauza maduka kariakoo hawakamatwi kama wana vibali vya kuwa hapo kihalali si walipewa na mamlaka husika leo mkiwakamata mnasema nini kuhusu izo mamlaka?kwani kula chai kibandani na kuvaa ndala kosa la jinai? mbona wa tz wengi wanatembea peku..sielewi kabisaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-46782810648590424262010-12-14T10:22:31.199+01:002010-12-14T10:22:31.199+01:00Acheni ubaguzi bana kwani wazungu wakikatiza uswah...Acheni ubaguzi bana kwani wazungu wakikatiza uswahilini na wakivaa malapa nini kinapungua? Mbona kuna waafrica kibao ulaya wanaranda tu.. nyie hamjui uchungu wa ubaguziAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-5699275376230399642010-12-14T07:07:00.376+01:002010-12-14T07:07:00.376+01:00Sasa huu ni ubaguzi, kwanini wazungu??? Mna uwivu ...Sasa huu ni ubaguzi, kwanini wazungu??? Mna uwivu nao? Anzeni na Wahindi kama mnataka ubaguzi hao ndio maadui wakuu na wezi waharibifu wanaoishi nchini kwa mission tu na ndio chanzo cha rushwa.Anonymousnoreply@blogger.com