tag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post6277636431094214346..comments2024-02-23T12:37:24.040+01:00Comments on Tanzanian Association Oslo: Chama Cha Watanzania Oslo - CCW Oslohttp://www.blogger.com/profile/01651714405985133072noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-20329056944981081242012-03-01T13:47:51.569+01:002012-03-01T13:47:51.569+01:00Swadakta Tausi, umenena...wapashe haoooooooooooo!!...Swadakta Tausi, umenena...wapashe haoooooooooooo!!!!!!!!!!Dotto Mokilinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-52576615565292201812012-03-01T13:47:21.613+01:002012-03-01T13:47:21.613+01:00Mbona kichwa cha habari hakielewiki?
Kwanza: Nes...Mbona kichwa cha habari hakielewiki?

Kwanza: Nesi feki abambwa

Pili: akutwa maabara akipima wagonjwa, yadaiwa hana cheti cha udaktari.

Toka lini nesi akawa na cheti cha udaktari?

Nesi wana vyao na madaktari wana vyao.

Hivi haya magazeti ya udaku yanashindwaje kufanya uhariri kabla ya kuchapisha gazeti?

Yanafanya mtu unakuwa na mashaka na habari wanazoandika, japo mara nyingi ni za kweli.Tausi Usi Ame Makamenoreply@blogger.com