tag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post7290963013271759956..comments2024-02-23T12:37:24.040+01:00Comments on Tanzanian Association Oslo: Chama Cha Watanzania Oslo - CCW Oslohttp://www.blogger.com/profile/01651714405985133072noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-83884041798114643102011-11-08T22:00:16.093+01:002011-11-08T22:00:16.093+01:00Tatizo la serikali ya Tanzania wansaini makaratasi...Tatizo la serikali ya Tanzania wansaini makaratasi bila kuyasoma. Katika haki za binadamu Tanzania imesaini haki hizo kupitia umoja wa Mataifa. Na ndani ya mkataba huo kuna haki za mashoga na wasagaji. Cha kushangaza Tanzania imesaini hilo! sasa wapi na wapi Mkuu Membe?! Kujipiga risasi mguuni!! Kweli sisi watanzania ni wajinga kutoka juu hadi chini!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-74052406561716693942011-11-04T21:25:12.791+01:002011-11-04T21:25:12.791+01:00Ahsante sana Membe, hapo umenena! Hawa mabarazuli ...Ahsante sana Membe, hapo umenena! Hawa mabarazuli wa Uingereza wanataka kutufanya wanaume wote wa afrika tuwe mashoga!!! Baadae watasema ili nchi ipate msaada lazima rais wake awe shoga...halafu watasema,wanaume wote wa Tanzania lazima tukubali kufi****ยค&rwa na hao mashoga wa UK ili tupate msaada! Upuuzi huu. Bora kufa na njaa kuliko kukubali upuuzi wao huo. Wao wanaume wazima, tena wengine wabunge na mawaziri na suti na tai zao wanavuja mavi tu,(maana washakatana ringi za mavutu)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-68417971276119070602011-11-04T12:18:47.475+01:002011-11-04T12:18:47.475+01:00Vitabu vya dini vinalaani ngono jinsia moja. Lakin...Vitabu vya dini vinalaani ngono jinsia moja. Lakini vitendo hivo vinafanyika usiku na mchana duniani kote!!!! No exception for Tanzania!!!!

Kwenye majela Tanzania watu wanafir....a kama mchezo.

Uraiani wasenge na mabasha kibao. Wasaganaji ndo usiseme.

Ndivyo dunia ilivyo.

Vitendo hivyo haviwezi kuachwa labda mpaka dunia iishe.

Membe hakukosea kusema kuwa Tanzania haitapokea misaada kwa masharti.

Lakini basi wasiishie kwenye misaada tu...

Walaani na vitendo vingine vya uovu vinavyotokea Tanzania kuanzia kwao wenyewe hadi walalahoi.Ubaya Ubwelanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-80759557932020587612011-11-04T12:10:32.257+01:002011-11-04T12:10:32.257+01:00Sheria hiyo ipo Tanzania kweli. Lakini haitumiki. ...Sheria hiyo ipo Tanzania kweli. Lakini haitumiki. Sasa sijui Mheshimiwa Waziri Membe ameitaja hiyo sheria kama ipo tu kwenye mabuku na hautumiki? Mambo mangapi ya uovu unafanyika nchini na hawatoi matamko ya kuyapinga uwazi uwazi? Mbona kumeuwa na hata mawaziri na wakubwa wengine nchini ambao walikuwa au ni wasenge na mabasha na hatukusikia au kusikia kuwa wamefungwa kwa hiko kipengele ca sheria`?TAMBRINAnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6976310726058368855.post-34210005201975587062011-11-04T12:06:19.853+01:002011-11-04T12:06:19.853+01:00Hivi kuna mashoga wangapi wanajulikana na kutembea...Hivi kuna mashoga wangapi wanajulikana na kutembea nchini Tanzania? Mbona hawafungwi kwa ushoga au ubasha wao?Anonymousnoreply@blogger.com