Tanzanian Association Oslo

Thursday, February 07, 2008


Waziri Mkuu, Edward Ngoyayi Lowassa ametangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu, baada ua Ripoti ya Richmond kutolewa na kamati teule ya Bunge ya Ripoti hiyo ikiiongozwa na Dr. Mwakyembe kupendekeza Waziri Mkuu awajibishwe. Pia Waziri wa Nishati, Nazir Karamagi na Waziri wa Afrika Mashariki, Dr. Ibrahim Msabaha nao wameamua kujiuzulu.

Angalia walivyoandika kuhusu Lowassa.

http://en.wikipedia.org/wiki/Edward_Lowassa


BBC News - Tanzania PM to resign over graft


The New York Times -
Tanzania Prime Minister Offers to Resign


International Herald Tribune -
Tanzanian prime minister resigns over
corruption scandal involving US firm


Agence de Presse Africaine -
Tanzanian Prime Minister resigns
over corruption charges


Reuters - Tanzania prime minister
offers to resign


MSN Money News -

Tanzanian prime minister resigns


Yahoo! News - Tanzania prime minister
offers to resign


News 24 online -
Tanzanian prime minister quits


France 24 International News -

Tanzanian PM tenders resignation
over corruption accusations


All Africa dot Com - Tanzania: Lowassa
Implicated in Richmond Scam


Bistandsaktuelt (in Norwegian) -
Tanzanias statsminister avsatt på direkten



Chama Cha Watanzania Oslo - CCW Oslo at Thursday, February 07, 2008
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.