Sport Klubb Brann, mabingwa wa soka Norway, duru 2 kabla ya ligi kwisha.
Zikiwa zimebaki duru mbili kabla ya ligi ya soka ya Norway kumalizika, timu ya SK Brann (Bergen) wamenyakua ubingwa wa Norway jana baadaya ya kuwafungwa Lyn FC ya Oslo kwa magoli 3 - 1. kwenye uwanja wa Brann mjini Bergen. Mara ya mwisho kwa Brann kuwa mabingwa wa Norway ilikuwa miaka 44 iliyopita.
Hongera dada Chiku Ali!
Kaka Freddy Macha asante sana kwa kuona kosa la maneno ya hapo juu, ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere!
Kaka Freddy Macha asante sana kwa kuona kosa la maneno ya hapo juu, ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere!
No comments:
Post a Comment