Huyu si mwingine bali ni Aisha Mohamed Mbegu maarufu kwa jina la Aisha Madinda, mnenguaji tegemeo wa bendi ya African Stars ’Twanga Pepeta’. Alijiunga na bendi hiyo mwaka 2001. Umaarufu huo ndio umemfanya Aisha Madinda awe mnenguaji au mcheza show ambaye huongelewa zaidi mitaani na pia kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania.
Hivi karibuni tulipata fursa ya kufanya naye mahojiano kuhusu mambo mbalimbali yakiwemo kuhusu maisha yake binafsi, mipango yake ya baadaye nk. Pia Aisha anajibu kuhusu shutuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikimzunguka kama vile matumizi ya madawa ya kulevya, upigaji wa picha za uchi nk. Ukweli uko wapi katika yote haya? Fuatana nasi katika mahojiano yafuatayo;
Toka Bongo Celebrity
No comments:
Post a Comment