

Malikia wa Ngwasuma,Ketura Kihongosi,akikagua gari alilokabidhiwa baada ya kuibuka mshindi.
Kutoka
Bongo Celebrity.
Juzi usiku ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar-es-salaam, bendi ya FM Academia au maarufu kama Wana Ngwasuma, walikuwa wanahitimisha zoezi la kumtafuta Malikia wa Ngwasuma au mwanamke bingwa wa kulicheza “sebene” hilo la Wana Ngwasuma.
Warembo kumi waliingia fainali na mpaka mwisho Ketura Kihongosi, ndio aliibuka mshindi na hivyo kujipatia gari lenye thamani ya milioni kumi za kitanzania. Kwa picha zaidi za tukio hilo, endelea hapa (more…)
No comments:
Post a Comment