Kundi B
"The Elephants" 1
"The Super Eagles" 0
"The Super Eagles" 0
Didier Drogba (Cote d´Ivoire) akimtoka Danny Shittu (Nigeria)
Aruna Dindane (Cote d´Ivoire) akimtoka John Obi Mikel (Nigeria)
Aruna Dindane (Cote d´Ivoire) akimtoka John Obi Mikel (Nigeria)
Timu ya taifa ya Cote d´Ivoire "The Elephant" imeifunga goli moja timu ya taifa ya Nigeria "Green Eagle". The Elephant ikiongozwa na "Super Star" Didier Drogba ilitawala sehemu kubwa ya mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa mjini Sekondi
Goli pekee kwenye mechi hiyo lilifungwa na Saloman Kalou kwenye dakika ya 66 baada ya kuwapiga chenga walinzi wanne wa Green Eagle.
Kundi A
"Atlas Lions" 5
Namibia 1
Namibia 1
Nayo Morocco "Atlas Lions" imefunga Namibia bila kuwaonea huruma magoli 5 - 1.
No comments:
Post a Comment