Tuesday, January 22, 2008

Africa Cup of Nations 2008

Kundi C

Wachezaji wa Misri wakimpongeza Hosni Abd Rabou baada ya kufunga la 4 kwa penalti


Indomitable Lions si wakali tena.
Wameshindwa kuwatafuna The Pharaohs

Timu ya taifa ya Kameruni "The Indomitable Lions" wamezimwa makali yao na Wamisri "The Pharaohs" baada ya kufungwa magoli 4 - 2. Mechi hiyo ilichezwa kwenye uwanja wa Kumasi. Magoli ya Wamisri yalifungwa na Hosni Abd Rabou (magoli 2), Mohamed Zidan (magoli 2) na yale ya Kameruni yalifungwa na Samuel Eto´o.


Chipolopolo (The Copper Bullets) 3 -

Sokoor Al- Jediane
(Desert Hawks)
0.

Jacob Mulenga akimtoka mchezaji wa Sudan na kumpa pasi Chipolopolo' aliyefunga goli la kwanza la Zambia
___________________________

Kwenye mechi nyingine ya kundi hili, Zambia (Chipolopolo - The Copper Bullets) wameifunga Sudan "Sokoor Al-Jediane (Kiarabu) au kwa Kiingereza Desert Hawks" magoli 3 - 0.

Sudan:
Elmuiz Abdalla, Bakhit, Ali Elkhidir, Eldin Ahmed Gibril, Lado, Karar, El Bashir, Bader Eldin Abdalla, Ahmed, Kamal Tambal, Agab Sido.

Marezevu: Ali Idris Farah, Babiker, El Basha Adam, El Hadi Salem, El Tayeb, Hameed Amari, Hassan Ali, Hassan, Kuku, Mohamed Abdalla, Tahir Osman, Yousif Hado.

Zambia: Mweene, Nketani, Musonda, Mwanza, Hachilensa, Bakala, Kalaba, Felix Katongo, Jacob Mulenga, Phiri, Chamanga.
Marezevu: Chinyama, Himonde, Kakonje, Kampamba, Kasonde, Mayuka, Clifford Mulenga, Njovu, Poto, Sunzu.


No comments: