Tuesday, February 12, 2008


Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete.


Msikilize Rais Kikwete akitangaza baraza la mawaziri




Makamu wa Rais Dk. Ali Mohammed Shein


Rais wa Zanzibar Amani Abeid Amani Karume


Waziri Mkuu Mizengo Pinda


BARAZA JIPYA LA

MAWAZIRI


1. Sophia Simba anayekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala bora)

2. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi Umma), Hawa Ghasia

3. Waziri Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Muhammed Seif Khatib

4. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Batilda-Salha Buriani.

5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Philip Marmo

6. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Stephen Wassira na Naibu Waziri Tamisemi ni Celina Kombani.

7. Mustafa Mkullo, amepandishwa na kuwa Waziri wa Mipango na Fedha, atasaidiwa na aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Jeremiah Sumari na aliyekuwa Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Omari Yusuf Mzee

8. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, amebaki Profesa David Mwakyusa akisaidiwa na Dk Asha Kigoda

9. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, itaongozwa na Kapteni John Chiligati.

10. Profesa Jumanne Maghembe amehamishiwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, akisaidiwa na manaibu waziri, Gaudencia Kabaka na Mwantumu Mahiza

11. Dk Shukuru Kawambwa amehamishiwa Wizara mpya ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

12. Andrew Chenge, amebaki Miundombinu akisaidiwa na Dk Makongoro Mahanga

13. Habari, Utamaduni na Michezo, Waziri ni George Mkuchika na Naibu wake ni Joel Bendera

14. Profesa Juma Kapuya amehamishiwa Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, akisaidiwa na aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Hezekiah Chibulunje.

15. Profesa Mark Mwandosya amehamishiwa Maji na Umwagiliaji akisaidiwa na Christopher Chiza

16. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika ni Profesa Peter Msolla na naibu wake ni Dk David Mathayo.

17. John Pombe Magufuli, amehamishiwa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, naibu wake akiwa Mbunge wa Serengeti, Dk James Wanyancha

18. Margaret Sitta amehamishiwa wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na naibu wake ni Dk Lucy Nkya.

19. Wizara ya Maliasili na Utalii, Waziri atakuwa Shamsa Mwangunga, akisaidiwa na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige

20. Lawrence Masha anakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, akisaidiwa na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki

21. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Waziri ni Bernard Membe na naibu wake ni Balozi Seif Ali Iddi.

22. Waziri wa Nishati na Madini ni William Ngeleja, atasaidiwa na Mbunge wa Mkuranga, Adam Malima

23. Waziri wa Katiba na Sheria ni Mathias Chikawe

24. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Waziri ni Dk Hussein Mwinyi atasaidiwa na Dk Emmanuel Nchimbi.

25. Ushirikiano wa Afrika Mashariki, itaongozwa na Dk Diodorus Kamala akisaidiwa na aliyekuwa Naibu Waziri wa Usalama wa Raia, Mohamed Abood Mohamed

26. Viwanda, Biashara na Masoko, itakuwa chini ya Dk Mary Nagu na atasaidiwa Dk Cyrill Chami.




No comments: