Thursday, February 07, 2008


mwenyekiti mpya au apokewa dodoma kwa shangwe
na http://issamichuzi.blogspot.com/

jk akisikiliza nyimbo zilizokuwa zinaimbwa na vijana mbalimbali wakati wa mapokezi yake mkoani Dodoma leo mchana
jk akisalimiana na mbunge wa viti maalum Mchungaji Getrude Lwakatare aliyejumuika na wabunge wenzake kumpokea Rais Kikwete katika uwanja wa ndege Dodoma leo mchana
jk akihutubia mamia ya wakazi wa mji wa Dodoma waliojitokeza kumlaki kama Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika, AU,jana mchana mara tu alipowasili
jk akiwa amembeba mtoto mwenye umri wa miaka miwili Mwajuma Omar Janja muda mfupi baada ya Rais Kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo alipata mapokezi makubwa ya poingezi kama mwenye kiti mpya wa Umoja wa Afrika
jk akimsalimia mwenyekiti wa Wazee wa mkoa wa Dodoma Mzee Omar Selemani aliyejumika na wakazi wengine wa mkoa huo katika mapokezi ya Rais leo mchana katika uwanja wa ndege wa Dodoma.


No comments: