Wednesday, June 18, 2008


Hispania Ugiriki 2 - 1

Hispania imekuwa mshindi wa kundi hili kwa kushinda meci zake zote kwa pointi 9. Hispania ilicheza na kikosi chake cha pili. Haikuwa na wachezaji wake maarufu kama Iker Casillas, David Villa, Xavi hernandez, Fernando Torres. Ugiriki ndiowaliokuwa wa kwanza kufunga kwenye dakika ya 42 lililofungwa na Charisteas. Hispania walisawazisha kwenye dakika ya 62 kwa goli la De la Red. Hispania walifunga goli la pili kwenye dakika ya 88 mfungaji akiwa Guiiza


shuti la Angelos Charisteas likimpita golikipa wa Hispania Pepe Reina


Urusi Sweden 2 – 0

Sweden ikishangiliwa na mashabiki wa Skandinavia wakiwa wamevalia njano na bluu, walikjikuta wakitolewa na Urusi kwa kufungwa magoli 2 – 0. Zlatan Ibrahimovich alibwana na walinzi wa Urusi na hakufurukuta. Magoli ya Urusi yalifungwa na Pavlyuchenko dakika ya 24, Arshavin dakika ya 50


Pavlyuchenko akifunfa goli la kwanza



Robo fainali

19.06.2008 Portugal - Tyskland saa 20:45 CET

20.06.2008 Kroatia - Tyrkia saa 20:45 CET

21.06.2008 Uholanzi na Urusi saa 20:45 CET

22.06.2008 Spania - Italia saa 20:45 CET

* CET = Central European Time




No comments: