imeathirika na uhalifu
Polisi nchini imesema licha ya ukweli kwamba Tanzania ni nchi changa na inayoendelea, kuna viashiria vinavyoonyesha kuwa imeathirika na uhalifu wa kimataifa.
Kauli hiyo ilitolewa jana katika Chuo cha Polisi Kurasini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Robert Manumba, alipofungua mafunzo ya uzagaaji wa fedha zisizo halali na udhibiti wa magaidi wanaofadhili utengenezaji wa fedha hizo yanayoendeshwa chuoni hapo kwa maofisa Polisi wa Upelelezi kwa jeshi hilo.
Bofya na endelea>>>>>

No comments:
Post a Comment