
Kundi C
Ufaransa 0 (Les Bleus) =
Romania (Tricolorii) 0


Lilian Thuram (Ufaransa) ameweka rekodi ya kucheza fainali 15 za mataifa ya Ulaya.
Alicheza mara ya kwanza mwaka 1994.
Uholanzi 3 (Clockwork Orange) =
Italia (Gli Azzurri) O
baada ya miaka 30
Uholanzi yaifunga Italia


Uholanzi wakicheza "Total Football" wameweza kuwafunga Italia baada ya miaka 30!! Mara ya mwisho Uholanzi kuwafunga Italia ilikuwa 1978 kwenye fainali za kombe la dunia nchini Argentina. Magoli ya Uholanzi yalifungwa na Van Nistelrooy (dakika 26), Sneijder (dakika 31) na Van Bronckhorst (dakika ya 79)
Picha zote kutoka ©Getty Images
Picha zote kutoka ©Getty Images
No comments:
Post a Comment