KAZI YA USAGAJI
Mama mmoja alikuwa na mtoto wake aitwaye Jeni. Mtoto huyo alikuwa darasa la tatu. Siku moja mwalimu wao aliwataka wanafunzi kutaja kazi wanazofanya wazazi wao na mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi huyo yalikuwa hivi:
Mwalimu: Jeni, baba yako anafanya kazi gani?
Mwanafunzi: Mwalimu
Mwalimu: Mama yako je?
Mwanafunzi: Yeye anafanya kazi ya usagaji.
Mwalimu: Heeh! We mtoto, ulijuaje kuwa mama yako anafanya kazi hiyo?
Mwanafunzi: Namuona akiifanya na shoga yake mama Kasim na mimi huwa naendaga kumsaidia ninapotoka shule.
Mwalimu kusikia hivyo akabaki ameduwaa kwani alifikiria vingine.
Kusaga nafaka!!!!!
No comments:
Post a Comment