Saturday, July 05, 2008

Mama Socrates

wa Tanzania




Padri Privatus Karugendo


ANNE Kilango Malecela, Mbunge wa Same Mashariki, akichangia hotuba ya Bajeti Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo, alijifananisha na mwanafalsafa wa zamani Socrates. Alisema yuko tayari kufa akitetea ukweli.



Socrates alikataa kwenda kinyume na yale aliyokuwa akiyaamini na kuyatetea katika jamii ya wakati wake. Wafuasi wake walimbembeleza akubali kukana ukweli, ili apone kifo. Enzi hizo Socrates, alikuwa muhimu sana katika jamii na alikuwa mwalimu wa kutegemewa na watu wengi.


Bofya na endelea>>>>>

No comments: