Saturday, July 19, 2008

Meja Jenerali

Zawadi Madawili

akiagwa




Meja Jenerali wa kwanza mwanamke katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Bibi Zawadi Madawili (kushoto) na aliyekuwa Mkuu wa Mafunzo ya Utendaji Kivita katika JWTZ, Meja Jenerali Servatus Hinda, wakipunga mikono ikiwa ni ishara ya kuaga wakati wa gwaride rasmi la Jeshi hilo Dar es Salaam jana kuwaaga Majenerali tisa waliostaafu utumishi jeshini. Wengine walioagwa ni Brigedia Jenerali Lawrence Magere, Brigedia Jenerali Dagobert Komba, Brigedia Jenerali Haroon Rashid Othman, Brigedia Jenerali Ananius Mwanga, Brigedia Jenerali Albert Kigadye, Brigedia Jenerali Julius Mbilinyi na Brigedia Jenerali Gerald Kiswaga.
(Picha na Peter Twite wa Majira)




No comments: