
Na Makongoro Oging’
NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anna Makinda amecharuka, na kusema kuwa vigogo wote wanaohusika na sakata la ufisadi nchini sasa watakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria kujibu tuhuma zinazowakabili...
No comments:
Post a Comment