Thursday, July 03, 2008



Rais Kikwete arejea..


Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Abbas Kandoro muda mfupi baada ya kurejea kutoka Misri ambapo aliendesha mkutano wa 11 wa Umoja huo katika mji wa Sharm El Sheikh jana jioni. Picha na Freddy Maro/Ikulu



No comments: