Monday, July 28, 2008

Siri za maisha ya wabongo

ughaibuni zafichuka



Na Mwandishi Wetu

Staili ya maisha ya Watanzania wanaoishi Ulaya na nchi nyingine za ughaibuni ni starehe tupu.
Uchunguzi, uliofanywa na gazeti hili kwa kuongea na baadhi ya Wabongo waliotembelea nchi za mbali pamoja na ufuatiliaji wa karibu wa matukio katika mitandao ya intaneti, unaonesha kwamba Watanzania hasa wanaioshi Ulaya, maisha yao yamejaa anasa...

4 comments:

Anonymous said...

Haya magazeti ya udaku yanapaswa kufanya "research" ya hali ya juu wanapoandika mada kama hizi, badala ya kusikiliza maneno ya mtu mmoja au wawili na kuandika tu.....

Anonymous said...

Ndio maana yanaitwa ya udaku. Yadakia mambo na kuandika...

Anonymous said...

Kuna ubaya gani wasijitanue? Kwa sababu wanaishiUlaya ndo´wajinyime? Kuishi ni kokote kule. Wanaotaka kujitanua wajitanue, wanaonyima wakiwa majuu, halafu wakatanue nyumbani waache wafanye hivyo. Dunia ya utandawazi....

Anonymous said...

Ntimanyongo za Wabongo..period!!!