Uwanja wa ndege
Zanzibar unatia
aibu....
Mwonekano wa uwanja wa ndege wa Zanzibar kwa upande mmoja ndivyo unavyoonekana hebu cheki, uwanja huu ni uwanja wa kimataifa, madege toka Ulaya yanatua moja kwa moja cha msingi ni kuboresha. Picha kwa msaada wa Yahya Charahani
No comments:
Post a Comment