Ampa refarii kadi
ya njano naye,
apewa kadi nyekundu
Mchezaji wa Botafogo ya Brazil, Andre Luis hakuridhishwa na maamuzi ya refarii, akachukua kadi ya njano kumwonyesha refarii. Refarii akajibu kwa kumpa Luis kadi nyekundu na kumtoa nje. Hii ilikuwa kwenye mashindano ya Copa Americana, baina ya Botafogo ya Brazil na Estudiantes ya Argentina.
No comments:
Post a Comment