Changudoa mmoja aliyekubuhu katika biashara ya kuuza mwili alijikuta amenasa mimba, wakati yeye hakuhitaji kuzaa, akaamua kwenda hospitali kutoa, alipofika kwa daktari alikutana na maswali kadhaa ambayo alitakiwa kujibu kabla ya kutolewa ujauzito huo. Mazungumzo kati ya daktari na kahaba huyo yalikuwa hivi:
Daktari: Binti hivi unamjua aliyekupa mimba?
Changu: Kwani ukila maharage mengi tumbo likikuuma utatambua ni harage gani limesababisha wewe
kudhurika?
Daktari kusikia vile hakutaka tena mazungumzo aliamua kumtoa nduki changudoa huyo.
No comments:
Post a Comment