Paolo Maldini
ajiuzulu soka


Paolo Maldini moja kati ya walinzi imara waliowahi kucheza soka ajizulu juzi Jumamosi kucheza soka. Maldini Cesare Maldini alizaliwa 26.Juni 1968, mjini Milano, Italia. Alianza kucheza soka la kulipwa na klabu ya Milan mwaka 1984. Amechezea Milan toka mwaka huo hadi alipojiuzulu juzi. Baba yake Paolo, Mzee Cesare Maldini aliwahi kuchezea pia klabu ya Milan. Mtoto wake mkubwa wa Maldini, Christian anachezea timu ya watoto ya Milan. Anatarajiwa pia kuchezea timu ya wazima. Katika muda wote huo aliochezea Milan:
Milan
§ Serie A (7)
§ Mshindi: 1987-88, 1991-92, 1992-93, 1993-94, 1995-96, 1998-99,
§ Mshindi wa pili: 1989-90, 1990-91
§ Coppa Italia (1)
§ Mshindi: 2002-03
§ Mshindi wa pili: 1984-85, 1989-90, 1997-98
§ Supercoppa Italiana (5)
§ Mshindi: 1988, 1992, 1993, 1994, 2004
§ Mshindi wa pili: 1996, 1999, 2003
§ UEFA Champions League (5)
§ Mshindi: 1988-89, 1989-90, 1993-94,
§ Mshindi: 1992-93, 1994-95, 2004-05
§ UEFA Super Cup (5)
§ Mshindi: 1989, 1990, 1994, 2003, 2007
§ Mshindi wa pili: 1993
§ Intercontinental Cup (2)
§ Mshindi wa pili: 1993, 1994, 2003
§ FIFA Club World Cup (1)
§ Mshindi: 2007
Timu ya taifa ya Italia (Azzurri)
§ FIFA World Cup 1990: Nafasi ya tatu
§ FIFA World Cup 1994: Mshindi wa pili
§ UEFA Euro 1988: Nafasi wa tatu
§ UEFA Euro 2000: Mshindi wa pili
§ Wachezaji chini ya miaka-21 Mchezaji wa Ulaya wa mwaka: 1989
§ FIFA World Cup timu ya mashindano: 1994
§ UEFA European Championship timu ya mashindano: 1996, 2000
§ UEFA Champions League fainali mchezaji wa mechi: 2003
§ Ligi Kuu ya Italia, Serie A, mchezaji wa mwaka: 2004
§ FIFA 100
§ UEFA timu ya mwaka: 2003, 2005
§ UEFA Champions League mlinzi bora: 2007
§ Kapteni wa timu ya taifa ya Italia (Azzurri) 1994-2002
§ Amechezea imu ya taifa ya Italia mara 126
No comments:
Post a Comment