Uongo mwiko vinginevyo
utashikiwa mwiko
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
MBONA hivyo mpenzi wangu? Nakaa hapa, nikiwa mbali na wewe, nakuwazia weeee, na kutamani kuwa na wewe, kumbe wewe umejimwaga kwenye ziwa la uchafu. Ndiyo mpenzi, lazima niseme.
Si tulikaa tukakubaliana kwamba mimi nije huko nitafute kazi ili tuweze kujipanga vizuri katika maisha yetu ya baadaye? Siyo? Na tulipoagana, si tulisema kwamba imani ni msingi wa mapenzi. Sasa wakati nakumic kupita kiasi iweje unikasirikie eti kwa nini nakaa mbali na wewe. Sasa wataka nifanyeje? …bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment