Bolt avunja tena
Rekodi yake ya mita 200
Kwa sekunde 19:19
Mjamaika Usain Bolt amevunja tena rekodi yake ya mita 200 kwa sekunde 19:19. Rekodi yake ya zamani aliivunja Beijing mwaka jana kwenye michezo ya Olimpiki.
Post a Comment
No comments:
Post a Comment