Virusi kwenye Facebook
Kuna virusi vinatumwa kwenye Facebook. Virusi hivyo vinaitwa ”Koobface”.
Vipi vinajiingiza?
Kwenye sehemu kiboksi cha kupokea jumbe kwenye Facebook, unaalikwa kuangalia kideo. Ukigonga kwenye kiungo cha kuangalia hicho kideo, unaombwa ufyonze (download) ”video – codec”. Ukifyonza, basi virusi vinaingia kwenye kompyuta yako.
No comments:
Post a Comment