Sunday, September 06, 2009

Kikwete afungua mazoezi ya

pamoja ya nchi za Afrika

Mashariki ”Mlima Kilimanjaro”



Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rais Jakaya Kikwete akipeperusha bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kufungua rasmi zoezi la kijeshi la nchi za Afrika Mashariki liitwalo "Mlima Kilimanjaro" kwenye Chuo Kikuu cha JWTZ, Monduli.

Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akimwonyesha Amiri Jeshi Mkuu, Rais Kikwete maeneo ya zoezi la Mlima Kilimanjaro. Kulia ni mkuu wa kamandi ya nchi kavu, Meja Jenerali Winjoynes Kisamba.


Kamanda wa Jeshi la Wananchi la Uganda UPDF akimwonyesha Rais Kikwete, maeneo ya mazoezi kwenye milima ya Nodosoito.

Picha na Freddy Maro wa Ikulu.

No comments: