Thursday, September 17, 2009


"Kiswainglish"


Hivi jamani inashindikana kabisa kwa wengine kuzungumza Kiswahili bila kuchanganya na Kiingereza? Yaani ndio tuseme msamiati wa Kiswahili haujitoshelezi au kuchanganya ndio kuonyesha kuwa mtu anajua Kiingereza? Sikiliza hawa masupastaa wa Bongo!







1 comment:

Mtambalike said...

Si unajua sisi Wabongo. Kama ulivyoandika, kuchanganya ni kuonyesha wewe umesoma madarasa mengi....