Huyu dada ana matatizo. Sisi wanawake tuna ndoto ya kumpata mwanamme wa namna hii, yeye anamkataa? Nadhani na mwanamme nje anayemridhisha na uroda. Inaonyesha huyu dada dada anapenda rough treatment. Kupigwa pigwa ndio anajikia vizuri. Nadhani pia anatoa "vitu" kwa mwanamme wa nje, vitu ambavyo hampi mumewe au mumewe havitaki.
AAHH...TAMBRINA DADA YANGU KUULIZA SI UJINGA. NDIO KWELI MIMI MTU MZIMA. LAKINI SI KILA MTU MZIMA ANAJUA KILA KITU NDO´ MAANA NIMEULIZA. KICHWANI KWANGU KUNAZUNGUMZA MAJIBU MENGI YA HIVYO "VITU" SIPATI JIBU MOJA. NAOMBA UNIPOZE KUUMWA NA KICHWA KWA KUNIPA TAFSIRI YA HIVYO "VITU"
DADA TAMBRINA WATOTO WA SIKU HIZI WANAJUA MENGI SANAAA! INTANETI IMECHANGIA MENGI. MAGAZETI YA UDAKU NDIO USISEME,UTAMADUNI WA KIGENI NAO UNACHANGIA. HAKUNA LA KUSHANGAZA KWA WATOTO WA SIKU HIZI(SINA MAANA WATOTO WADOGO KABISA...NINA MAANA KUANZIA MIAKA 16 NA KUENDELEA...MSINIKIRIE VIBAYA)
NGOJA BASI NISEME MOJA YALIYOKUWA YANAZUNGUKA KICHWANI KWANGU.
Kuna mengi ya unyumba yanayofanyika ambayo si ya kawaida kwenye ngono. Hilo ulilotaja moja wapo, lakini ni wewe umelianza si mimi. Jamani narudia tena, ashakum si matusi. Watoto wenu wa chini ya umri wa kusoma na kusikiliza haya.
Bin-Adam tumezidiwa na uasherati ndo´maana hizi mada tunazichangamkia. Ndio maana mgazeti ya udaku yananunuliwa kwa wingi duniani kote kwa sababu tunapenda kuyasoma n.k. Ndio hulka ya Bin-Adam
10 comments:

TAMBRINA, "VITU" GANI HIVYO? TUMEGEE BASI NA SISI TUELEWE.
Weee "ananymous" mchokozi. Weee mtu mzima. Tumia akili yako. Unataka nitukane humu ndani?
AAHH...TAMBRINA DADA YANGU KUULIZA SI UJINGA. NDIO KWELI MIMI MTU MZIMA. LAKINI SI KILA MTU MZIMA ANAJUA KILA KITU NDO´ MAANA NIMEULIZA. KICHWANI KWANGU KUNAZUNGUMZA MAJIBU MENGI YA HIVYO "VITU" SIPATI JIBU MOJA. NAOMBA UNIPOZE KUUMWA NA KICHWA KWA KUNIPA TAFSIRI YA HIVYO "VITU"
Humu hata watoto wanaingia na kusoma. Tusije tukasema maneno yakawafanya wakue kabla ya muda wao!!!!!
DADA TAMBRINA WATOTO WA SIKU HIZI WANAJUA MENGI SANAAA! INTANETI IMECHANGIA MENGI. MAGAZETI YA UDAKU NDIO USISEME,UTAMADUNI WA KIGENI NAO UNACHANGIA. HAKUNA LA KUSHANGAZA KWA WATOTO WA SIKU HIZI(SINA MAANA WATOTO WADOGO KABISA...NINA MAANA KUANZIA MIAKA 16 NA KUENDELEA...MSINIKIRIE VIBAYA)
NGOJA BASI NISEME MOJA YALIYOKUWA YANAZUNGUKA KICHWANI KWANGU.
UNA MAANA HUYU RASHIDA ANALIWA "TIGO"?
ASHAKUM SI MATUSI!!!!
Kuna mengi ya unyumba yanayofanyika ambayo si ya kawaida kwenye ngono. Hilo ulilotaja moja wapo, lakini ni wewe umelianza si mimi. Jamani narudia tena, ashakum si matusi. Watoto wenu wa chini ya umri wa kusoma na kusikiliza haya.
ASANTE TAMBRINA..NIMEKUPATA. SAMAHANI KWA UCHOKOZI WANGU...
Sisi wabongo bwana mada kama hizi tunazichangamkia kweli sijui kwa nini....

Post a Comment