Friday, September 25, 2009

Wanavyong'ang'ania ung'eng'e

utadhani pesa za ufisadi



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Frankie Sweety,

How are you my love? If you want know my sitweshen, me I am fine, fear for you.

Hapo sasa. Hidaya wako akijaribu ung'eng'e hovyo! Lakini ukiwasikiliza wengine ambao ung'eng'e wao ni sifuri pia utadhani ni wataalamu wa kitasha kuliko watasha wenyewe kwa jinsi ambavyo wanamshambulia mbongo mwenzetu akiongea broken.

Lakini u mzima mpenzi? Nashukuru sana umeachana na wazimu wa kunishakia bila sababu; maana jinsi mto ulivyokuwa unalowa machozi kila usiku niliogopa wataniita kikojozi. Sasa moyo umetulia nikibarizi kwenye upepo mwanana wa mapenzi yako

……bofya na endelea>>>>>


No comments: