Wednesday, December 30, 2009

Security lapses at the airports










1 comment:

Anonymous said...

Idara za Usalama za Marekani; CIA, FBI, NSA, National Counter Terrorism Center, NCIS, INR, DEA, n.k. zimeshindwa kupeana habari kuhusu huyo kijana. yale yale ya Nine Eleven. Watu habari wamezipata na wamezikalia!!!!

Wachana Rais Obama akasirike!

Vichwa vya watu lazima vibadilishwe kwenye hizo idara/mashirika ya usalama