Monday, January 04, 2010


Jengo refu kuliko yote duniani
Burj Dubai lafunguliwa








Jengo refu kuliko yote duniani, Burj Dubai limefunguliwa leo mjini Dubai. Burj Dubai lina urefu  urefu wa futi 2,684ft ( mita 818), linazidi urefu wa jengo liitwalo Taipei 101 la nchini Taiwan, ambao urefu wake ni futi 1,667ft ambazo ni mita 508m.

No comments: