Friday, January 15, 2010


Msikilize mchungaji Pat Robertson:  Eti Haiti wamelaaniwa!

2 comments:

Anonymous said...

Huyu Pat Robertson punguani!!!

Kila janga likitokea anatoa sababu zisizokuwa na miguu wala kichwa

Anapaswa kupelekwa kwenye nyumba za kulea wazee!!!!

Jolijo said...

HAWA MAEVANGELISTS SIWAELEWI. HIVI NI WAKRISTO WA KWELI? MBONA HAWANA UBINADAMU WKAMA WAKRISTO WENGINE?

NIFAHAMISHENI..