Wednesday, January 06, 2010

Majira ya theluji hapa Norway


Røros kunaganda!
Halibaridi – 41oC


Mjini Røros

Sehemu ambayo ina baridi kuliko zote hapa Norway hadi leo ni mji unaoitwa Røros (Roeros) ulio kwenye mkoa wa Trøndelag ya Kusini (Sør-Tøndelag). 


Kwenye uwanja wa ndege wa Røros halibaridi ni -41oC linaripoti gazeti la mjio huo www.retten.no.


Kuamkia leo, hapa Oslo halibaridi ilikuwa -22oC.


Halibaridi inashuka. Utabiri wa hali ya hewa unatabiri kuwa hadi mwishoni wa mikiendi hii halibaridi baadhi ya sehemu itashuka hadi -50oC

No comments: