Sunday, January 17, 2010



Wakubwa ruzuku hadi riziki, wadogo dhiki tu





Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.




Mpenzi Frank,


WE Bwana, unajua kweli kufurahisha. Nilikuwa nimekaa jikoni nikisononeka kwa kumkosa mpenzi wangu siku nyingi sana, namsikia mtu anagonga hodi getini. Sikujali maana mlinzi yupo, kisha nikasikia sauti. ‘Jamani, mbona sauti kama Frank vile! Tena wakati namkumbuka namna hii. Hadi naota!’


Nikainama kwa masikitiko zaidi kumbe kweli Frank mwenyewe. Ndoto ikawa kweli na moyo ulifarijika sana. Asante sana mpenzi. Asante sana sana sana. Hata kama tulionana muda mfupi hivyo, najua sasa mwaka 2010 utakuwa mzuri…..bofya na endelea>>>>>

No comments: