Tuesday, January 12, 2010

Watu 4359 walifukuzwa mwaka jana




Mwaka jana watu 4359 walifukuzwa na kurudishwa walikotoka mwaka 2009 kwa kukosa vibali vya kuishi. Hilo ni ongezeko la watu 1468 ukilinganisha na mwaka 2008. Watu hao ni kutoka nchi 122. Watu 3340 waliondolewa kwa nguvu na 1019 waliondoka kwa hiari zao.

Nchi zinazoongoza kwa watu waliorudishwa:
Italia  635
Hispania  257
Sweden  245
Romania  198
Poland  174
Lithuenia  157
Ujerumani  145
Kosovo   125
Ugiriki  111
Malta  78
Ufaransa  73
Nigeria  70
Irak  63





No comments: