Tuesday, April 20, 2010

iPhone  ya kizazi cha nne OS 4.0
yaokotwa kwenye baa!


iPhone ya kizazi cha 4 cha TEKNOHAMA, imeokotwa kwenye baa, kwenye mji wa Redwood City nchini Marekani, imeandikwa kwenye tovuti ya Gizmodo. Wiki sasa imepita tangu waiokote hiyo iPhone mpya, wameichambua kama karanga na wana uhakika ni iPhone ya kweli na ni ile ile ambayo inasadikiwa itazinduliwa mwezi Juni mwaka huu. Inasadikiwa mfanyakazi mmoja wa Apple, aliichukua na kutoka na kwenda baa kunywa akiwa nayo.

Chanzo: Gizmodo.


No comments: