Kesho Ijumaa tarehe
30 Aprili 2010
ni siku ya mwisho
ya kurudisha:
Taarifa kuhusu mapato
yanayostahili kutozwa kodi
“Income Tax Return = ITR.”
Angalia vizuri mapato yako,
madeni yanayostahili
kuingizwa kwenye
hizo taarifa, n.k.
Linganisha na fomu ya
kodi ya mapato,
tulizotumiwa mwanzoni
mwa mwaka,
kabla hujarudisha “ITR”
Saa 5.59 usiku (23.59 CET),
ni saa ya mwisho ya
kurudisha ”ITR”.
Unaweza kuirudisha
kieletroniki.
Angalia:
au kwa SMS na. 02111 kama tayari una nywila
(koda) toka skatteetaten.
maelezo ya ziada wapigie
simu na. 800 80 000
Kila la heri!!!
1 comment:
Mhariri,
Asante sana kwa kutukumbusha kuhusu hii tarehe ya muhimu. Endelea na uzi huu .....
Post a Comment