Saturday, April 17, 2010

Kufungwa kwa anga la Norway

Mfalme Harald wa Norway akiwa kwenye usukani mwenyewe.


Mfalme Harald V wa Norway jana Ijumaa alieendesha gari mwenyewe kutoka Oslo hadi Copenhagen kuwahi kuadhimisha miaka 70 ya Malkia Margrethe wa Denmark. Mfalme Harald alikuwa wa mwisho kufika kwenye hafla hiyo. Hakuna ndege inayoruka kutoka na kuingia Norway kufuatilia wingu la majivu ya volkano linalotoka kwenye kisiwa cha Iceland na kutandaa Ulaya ya Kaskazini na kusababisha kusitizwa kwa usafiri wa anga kwa nchi kadhaa za Ulaya


No comments: