Friday, April 09, 2010

Kutumia mabavu ni upumbavu



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.


Heri ya Pasaka mpenzi wangu,

Naona mwaka huu yamekuwa masika ya Pasaka kabisa.  Hivyo nakutakia mafanikio katika kusaka Pasaka usisukwe na kusakamwa na makasuku.  Hapo sasa.  Maana jinsi mpinzani mpya anavyosakamwa na wenye masuti, sisi wadogo tunaoshabikia mabadiliko tuko salama kweli? 



No comments: