Tuesday, April 13, 2010





Ray C akanusha!



Bofya na sikiliza kwenye






6 comments:

Anonymous said...

Ufahamu wa Ray C wa mambo ni mdogo sanaaaa!!!!

Toka lini mtu awe raia ndio aweze kumwalika mtu mwingine kuja kutembea Ulaya?

Angalia hata anabyozungumza. Inaonyesha hata hakuwa anafikria nini anazungumza!!!

Anonymous said...

Huyu Ray C sijui anataka kusema nini?

Mbona wenzake alioalikwa nao walifika? Na walialikwa na watu ambao si raia?

Kesi yake ni finyu sana. Kama ingekuwa mahakamani angeshindwa kesi!

I rest my case!

Mosi-O-Tunya said...

Ray C ana selective memory (Kumbukumbu za kuchagua)

Alialikwa na kufanya konseti hapa Oslo, Gamle Banken, Skippergata 9 Jumamosi 18 Agosti 2007. Aliiimba nyimbo tatu tu akasema anaenda mapumziko, hakurudi kabisa. Tuliolipa hela zetu kumwona tulibaki tumeduwaa!

Leo anasema upumbavu mtupu!

Aangalie kiungo hiki:

http://watanzaniaoslo.blogspot.com/2007/08/tanzanian-association-oslo-invites-you_16.html

Dada yangu Ray C ushauri wa bure. Usione watu wajinga!

Oslo

Tausi Usi Ame Makame said...

Ali Kiba, Matonya, Dully Sykes walialikwa na watu hawa hawa ambao si raia wa hizi nchi, lakini walikuja.

Ray C mwenyewe alialikwa 2007 na watu hawa hawa na alikuja, akaimba nyimbo tatu na kutuacha kwenye mataa!

JE, RAY C HII UMEISAHAU?

Oslo.

Anonymous said...

Jamani msimlaumu Ray C sana.

Mnaonea kwenye kideo toka Bongo 5 anavyoonekana? Kama katoka kubugia bwimbwi!!!

Anonymous said...

Kweli anony,mi nadhani kwenye ile video kweli kabwia,the girl is rough.Kama maneno yenyewe ndo hayo ndo maana umekosa visa.How many times wewe umesafiri naona hizo bange zako ndo zimewatisha mtoto umedata.Hovyooooo NA fikiri mara miamia kabla ya kuja hapa Oslo tena.Hatuji kamwe aslani.