NO Smoking in Swahili
After public smoking was banned in Kenya, by former Mzee Moi, each town clerk was assigned the duty of posting notices in Kiswahili to that effect. See how different councils posted their notice: Other councils are still working on theirs......
The Mombasa Town Clerk:
Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka amri hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.
The Kiambu Town Clerk:
Wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.
The Machakos Town Clerk:
Wavulutanji tusikala wasunge sana . Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana.
The Kisumu Town Clerk:
Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa, ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!
Wajir Town Clerk:
Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi tagaamata mutu bhahala yaghe kiburuta.
Kericho Town Clerk:
Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa. Haguna!! Charipu wee taona!!!
Kisii and Nyamira Town Clerk
Akuna kukunywa sigara hapa ndani na inche kuansia reo. Mutakaobatikana mutakura kiboko saa iyo iyo. Wote munaombua kujiatari sana.
Other Councils are still working on theirs.......
Have a nice day!
No comments:
Post a Comment