Tuesday, May 11, 2010


RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini William Mkapa anahofia kuuawa baada ya kukataa kusema maamuzi mazito aliyowahi kufanya wakati wa utawala wake alipokuwa madarakani.

Baadhi ya wananchi walijiuliza maswali mengi hasa baada ya katikati ya wiki iliyopita Mstaafu huyo kusema kuwa, hawezi kusema maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya wakati wa utawala wake kwa sababu bado anapenda kuishi.....bofya na endelea>>>>>


No comments: