Sekta ya afya na vyeti batili au visivyotambulika
Ripoti toka kwenye ofisi ya serikali inayohusika na kuhakiki vyeti vya wafanyakazi wa sekta ya afya toka nje ya Norway (The Norwegian Registration Authority for Health Personnel (SAFH), imetoboa kuwa kuna wafanyakazi wengi toka nje ya Norway, wanaofanyakazi kwenye sekta hiyo aidha kwa vyeti batili au kwa vyeti visivyotambulika.
No comments:
Post a Comment