Mshambuliaji wa timu ya Ufaransa na Chelsea, Nicolas Anelka
akiwa uwanja wa ndege kurudi Ufaransa baada ya kutimuliwa
na chama cha soka cha Ufaransa, FFF kutoka kwenye mashindano
ya fainali za kombe la dunia nchini Afrika Kusini.
Anelka anashutumiwa kwa kumtukana kocha Raymond Domenech.
Anelka amekanusha kuwa maneno yanayosemwa kuwa aliyasema
hayakutoka kinywani kwake.
No comments:
Post a Comment