Kwa nini watudanganye kwamba watoto wanapata
elimu huku wakipata mimba au UKIMWI badala yake??
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi wangu, mpenzi wangu,
Mbona uko mbali nami? Nakuhitaji sana mpenzi, nakuwazia sana, sina raha tukiwa mbalimbali hivi. Napenda kujua kama u mzima kila wakati na kusikia sauti yako nzito ikinijali kama unavyonijali kila siku. Nakumiss mpenzi wangu ... mpaka namwaga hata ung’eng’e kwa ajili yako.....bofya na endelea>>>>>
Wanaume wawili, Athumani Hamis ‘Anti Asu’ na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Ally wakazi wa jijini Dar es Salaam waliodaiwa kufunga ndoa hivi karibuni katika eneo la Sinza, wamelaaniwa vikali kutokana na uamuzi huo ambao unakwenda kinyume na maadili ya nchi....bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment