Sunday, June 20, 2010

Fainali za kombe la dunia nchini Afrika Kusini

Brazil vs. Cote D´Ivoire 3 – 1


Kaka akilalamika baada ya kupewa kadi nyekundu





Brazil wamewafunga Cote d Ivoire kwa magoli 3 kwa moja. Magoli ya Brazil yalifungwa na Loius Fabiano (dakika ya 25 na 50) na Elano (dakika ya 62). Goli la kufutia machozi la Cote D´Ivoire lilifungwa na Didier Drogba (dakika ya 79). Kaka alipewa kadi nyekundu na kutolewa baada ya kumpiga kiwiko cha mkono Keita wa Cote D´Ivoire kwenye dakika ya 88.

Matokeo mengine ya mechi zilizochezwa leo

Slovakia vs. Paraguay 0 – 2

Italy vs. New Zealand  1 – 1


No comments: